Baada ya Rayvanny kushinda Tuzo ya BET Viewer's Choise Best New International Act 2007, Diamond Platinumz jana Usiku alitoa ujumbe huu;
"@Rayvanny is THE Best Viewers Choice Best New International Act 2017!!! WOYOOO. Nikishindwa kwa mkono Kulia ntatumia hata Mkono wa kushoto........ila lazma ifike @WCB-Wasafi TANZANIA!!! Chukua hiyo #WCB_Wasafi#Winning Team!!! Suit by @Specho Z".............
Hatimaye leo "Rayvanny" ame post Picha kwenye Accaunt yake ya INSTAGRAM huku akiandika "Comment Chochote Maana Binafsi Nimeshindwa Kabisa Kueleza,,,,,," ikiwa ni ishara tosha ya Shukrani kwa DIAMOND PLATINUMZ kuwa bila yeye leo hii asinge kuwa hapa alipo mpaka kuchukua TUZO Kuiwakilisha Tanzania Nzima.Rayvanny usiku wa jana hakuamini kilichotokea mpaka kuchukua Tuzo, mpaka leo ameamua kupost picha ikimkumbusha mbali ambapo alivishwa nguo na DIAMOND PLATINUMZ kabla ya kuwa msanii Mkubwa.
Picha hii ni Funzo kwetu kuwa Ukipata Nafasi ya Kufanya kitu fulani labda Kazi fulani,Kuonesha Talenti Yoyote Binafsi au katika Makampuni mbalimbali,ifanye kwa umakini na kwa Uangalifu(SERIOUS),Starehe weka Pembeni,Fanya kazi kwa Ushirikiano CHANYA na Thamini Muda. Hiyo ndio Siri ya Rayvanny Kwenye Maendeleo yake mpaka kufikia Hatua ya kuchukua Tuzo kubwa na kuiwakilisha WCB-Wasafi na Tanzania nzima kwa Ujumla.
WRITTEN AND DESIGNED BY CHAX C
Hongera Ray Mungu Akutangulie ufike kumwanya
ReplyDelete