TAZAMA '10 BORA' ZA "MADARAJA" MAREFU NA MAKUBWA HAPA DUNIANI (2017).

Zifuatazo ni Picha za Madaraja [Bridges] yenye Ubora na Ukubwa hapa Duniani na sehemu yapatikanapo;
1. Danyang-Kunshan Grand Bridge(Daraja)
Hili ni Daraja lenye urefu zaidi ya Kilometre 164;Linapatikana CHINA.
2.Tianjin Grand Bridge
Urefu ni zaidi ya Kilometre 100; Mahali ni CHINA
3.Weinan Weihe Grand Bridge
Urefu wa Daraja hilo ni Kilometre 79.7; Mahali CHINA
4.Bang Na Expressway
Urefu wa Daraja hilo ni Kilometre 56, Mahali THAILAND
5.Beijing Grand Bridge(Beautiful Bridge)
Urefu wa Daraja hilo ni Kilometre 48; Mahali CHINA
6.Lake Pontchartrain Causeway
Urefu wa Daraja hilo ni Kilometre 38.35 ; mahali U.S.A [MAREKANI]
7.Manchac Swamp Bridge
Urefu wa jumla ni Kilometre 36.69 ; Mahali U.S.A [MAREKANI]

8.YangCun Bridge
Urefu wa Daraja hilo ni Kilometre 35.8 ; Mahali ni CHINA
9.Hangzhou Bay Brigde
Urefu wa Daraja hilo ni Kilometre 35.68 ; Mahali CHINA
10.Runyang Bridge
Urefu wa Daraja hilo ni Kilometre 35.66, Mahali ni CHINA








.

Comments