Mzee mmoja huko Wilayani Maswa aliacha wosia kuwa atakapofariki azikwe kwenye jeneza akiwa amekaa.
Watoto na ndugu zake wametekeleza hapo jana baada ya kutengeneza jeneza ambalo lilimfanya mzee huyo ahifadhiwe akiwa amekaa.
Source:Raha za Walimwengu
Designed by CHAX C
Comments
Post a Comment