Jinsi ya kutumia
programu ya VLC kubadili format ya video(MPEG,MP4,AVI,Divx,ASF,WMV,DVD n.k)
VLC ni kifupi cha maneno VIDEO LAN
CLIENT.
Hii ni moja ya player
ambayo imekuwa maarufu sana Duniani.
Ilianza mwaka 2001
Ilitengenezwa kwa Language mbili C++
na C
VLC inakazi nyingi sana na
moja ya kazi ya VLC ni kuconvert Videos na Audios.
Yaani VLC inaweza kutumika kama "Converter".
Tumia "VLC" kama huna Total Video
Converter
VLC media player huwa inauwezo wa kucheza file lolote la
media, lakini unaweza ukaitumia pia kubadilisha format (convert) ya video
kwenda format nyingine kama MP4, Kama unahitaji kutazama hiyo movie kwnye simu
yako
Ni rahisi kubadilisha Format ya video kwenye VLC, Zifuatazo ni hatua za kufuata ili kubadilisha Format ya video kwa kutumia VLC;.
1. Convert/badili kutoka kwenye Media menu Bonyeza
kwenye Media menu ya VLC, kisha bonyeza Convert / Save.
2. Chagua video(s) ya kubadili(convert)
Kwa kutumia Add button, Chagua video moja au zaidi la file
unalotaka kubadili
3. Chagua jina la
file unalohitaji lihifadhi file/video yako baada ya kubadilishwa/converted video
Kwenye Target file box, chagua destination file, na
uandike/browse file la kuhifadhi video yako.
4. Chagua video format kwenye conversion chini ya Profile, chagua target format kutoka kwenye list ya
formats.
VLC media player ni rahisi kubadilisha format zingine kama
MPEG, MP4, AVI, Divx, ASF, WMV, au DVD.
5. Advanced Settings (Optional) kwa kutumia menu kwa tools icon, unaweza ukabadili settings
kwa destination format ku adjust yenyewe.
Hapa unaweza kuchagua supported video na audio codecs na una
access ya advanced options zote kama bit rate, resolution, framerate, na audio
quality.
Kwa kutumia special filters, Unaweza pia ukabadili au
optimize video au audio track kipindi cha conversion process. Kwa mfano,
unaweza ukazungusha recorded videos 90° au kuongeza watermark au logo.
6. Conversion: Videos inahifadhiwa kwenye target
format endapo Umechagua Setting zote, Bonueza Start kuanza
conversion. VLC media player huwa ina save film kwenye desired format ndani ya
file folder ulilolichagua. Muda wa kumaliza conversion kutegemeana na urefu wa
video, settings uliyochagua, na speed ya kompyuta yako.
Kwa batch conversion, unaweza ukaangalia mwendeleo kwenye
timeline wakati unacheza video.
Remember that; "Practice Make You Perfect"
Maana yake usomapo hii post fanya kwa Vitendo hii itakusaidia Kuelewa zaidi na kwa muda mfupi.
Kama kuna tatizo au haujaelewa sehemu yeyote nitafute kupitia namba hizo hapo chini.
MWISHO WA SOMO LETU ZURI
DESIGNED BY CHAX C
Call me: +225 764 686 535
Whatsapp no: +225 625 696 226
+225 764 686 535
Comments
Post a Comment