Skip to main content

JINSI YA KUFUTA(KUDELETE) AKAUNTI YA FACEBOOK MOJA KWA MOJA(ISIONEKANE).





    JE UMECHOSHWA NA ACCOUNT YAKO YA FACEBOOK NA UNAHITAJI KUIFUTA PERMANENTLY USIIONE WALA USIPATIKANE TENA KWA MUDA MFUPIII???? 
       USIJALI SULUHISHO LIMEPATIKA FUATA MAELEZO VIZURII KABISA UTAFURAHII 


Kuna njia mbali mbali sana zinazotolewa lakini zingine zinakuwa ndefu kiasi cha kushindwa kuzimudu na watu wengine kuishia kuzima akauti zao.    Sasa suluhisho lipo hapa           Kupitia petromathew.blogspot.com

           HATUA ZA KUFUATA... 
1. Fungua browser na uingie kwenye akaunti yako kupitia browser.  

NB. Hakikisha umelog out kwenye Facebook app

2. Baada ya hapo kata kupitia home button kisha clear recent app used.

3. Baada ya hapo ingia kwenye browser upya juu mahali pa kuingiza URL ingiza linki hii 

   www.facebook.com/help/delete account 

Hapo utakuwa katika stage ya mwisho kabisa watakwambia kuingiza password ya facebook na baada ya kuingiza password italog out automatic.  


NB. Usiingie kwenye akaunti yako kabisa kwa siku 14 kisha jaribu kuitafuta akaunti yako kupitia simu nyingine hutaipata.

Siku 90 zikipita huwezi kuirejesha upya akaunti yako
Kama unataka kutoka kwa muda zima akaunti yako usiifute      
       

 kama hivi ...
Asanteni Sana.

Designed by CHAX C

Comm




Post a Com




Comments