Akizungumza na waandishi wa
habari jijini Kigali jana jioni amesema hawezi kupingana na Rais Magufuli kwani
mpaka kuchaguliwa na Watanzania ni ishara kuwa anakubalika kwa kila kitu
anachokifanya.
“He is the president, so siwezi kubisha, mpaka alipochaguliwa kuwa
rais, ina maana tumekubaliana na akili yake tumeona anafaa,” amesema
Diamond.
Diamond Platnumz ambaye leo atatumbuiza mjini Goma nchini DR Congo kwenye
mkutano wake na waandishi wa habari nchini Rwanda jana jioni ameongeza kwa
kusema kuwa “siwezi kujua ni kwa sababu gani mpaka Magufuli amesema hivyo”.
BY CHAX C
Comments
Post a Comment