STAR "WEMA SEPETU" AWAPA MAKAVU WANAOMSEMA (SHEPU LA MWENDOKASI).



By@wemasepetu-shepu ya Mwendokasi. "Ndo niliojaliwa nayo. Kama imeanzia kiunoni kwenda magotini ndo niliojaliwa nayo. Kama wewe hauna basi mshukuru Allah. Ndo nilivyoumbwa Jamani. Sio mimi bali ni Maulana ndo alivyonibariki nayo. Hata ingekuwa kwanzia kichwa hadi vidole vya miguuuni ni sawa pia. Ndo niliojaliwa nayo. 
Sometimes najiangalia kwenye kioo sijimalizi...Ndo majaliwa yangu...ndo yangu basi Imenizidia.
Allah Subhanah Wataallah ndo amenipa. Aaaah,sio shepu ya kawaida; Niacheni na shepu yangu jamani ,ndo nishaimiliki mie, Siwezi kuitoa".Aliandika Wema Sepetu katika akaunti yake ya instagram.


Hata hivyo Wema Sepetu amepiga Picha nyingi kwa Makusudi ya Kufikisha Ujumbe kwa Watu wanaompiga majungu,zikiwemo zifuatazo;




Designed by CHAX C










Comments