STAR "JINI KABULA" ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALINI MUHIMBILI.


Baada ya Kuugua wiki kadhaa na kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili,Dar akisumbuliwa na matatizo ya Afya ya Akili baada ya Malaria kupanda Kichwani.

Hatimaye Staa wa Bongo Movi, Miriam Jolwa "Jini Kabula" ameruhusiwa kutoka Hospitalini.
Akizungumza na Wikienda, Dada wa Jini Kabula aliyejitambulisha kwa jina moja la "Dayness" Alisema kuwamdongo wake huyo kwa sasa hali yake inaendelea vizuri na yupo kwake baada ya kuruhusiwa kutoka hosptalini, "Ameruhusiwa na yupo kwake, mtafuteni muongee naye ila TUNAMSHUKURU MUNGU anaendelea vizuri kwa sasa".

Source:Bongo Newz

Designed by CHAX C

Comments