PICHA ZA MAZISHI YA MZEE NDESAMBURO LEO MKOANI KILIMANJARO.


Mbunge wa zamani na mfanyabiashara maarufu kutoka Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo amezikwa leo June 6, 2017 nyumbani kwake KDC Moshi huku mazishi yake yakihudhuriwa na mamia ya watu wakiwemo viongozi mbalimbali.
Kutoka eneo la mazishi nimekukusanyia picha 21 za tukio zima la mazishi.
                   
SOURCE:Raha za Walimwengu

DESIGNED BY CHAX C

Comments