MAHAKAMA KUU YAAMURU PESA ZIFUKULIWE ZILIZOFUKIWA KWENYE KABURI LA "IVAN" NCHINI UGANDA.


Mahakama kuu nchini Uganda yaamuru PESA zilizofukiwa kwenye Kaburi la "IVAN DON" zifukuliwe na zitolewe ili zirudi kwenye mzunguko(zigawiwe).



Mahakama inadai kitendo kilichofanywa kuzika PESA ni Udhalilishaji wa thamani ya PESA yao kwa Wahisani..

Mahakama imesema PESA ni Mali ya Serikali.

                                   Nyaraka kutoka Mahakama Kuu ya Uganda.


Source:JUSTIN MWANAMAYEKA

Designed by CHAX C

Comments