MAAJABU,"MAITI ZAFUKULIWA" NA KUBADILISHWA NGUO KISHA "KUZIKWA TENA".



Nchini indonesia katika kijiji cha Tana Toraja, maiti huwa zinafufuliwa na Kubadilishwa nguo, zoezi hili hufanyika kila mwaka baada ya maiti kuzikwa, na wanafamilia ndio huifanya kai iyo;

Mara nyingi mtu anapo kufa huwa wanamzika katika sehemu aliyo zaliwa na sio aliyokufia so kila baada ya mwaka humfukua na kumbadilisha mavazi, hii ni moja kati ya mila zao wenyewe.

Duuh! mimi hapo sina cha kuongea,zaidi yangu macho tu.

Source:Raha za Walimwengu

Designed by CHAX C

Comments