Somo kuhusu Rooting
Ndani ya simu yako huwa kuna vitu fulani tu ambavyo unaruhusiwa kuvifanya amabyo hii tunaiita privileged control,inachokifanya rooting ni kukufanya uwe na privileged control ya kila kitu kwenye simu yako hii control inaitwa root access
FAIDA ZA ROOTING
1.Rooting inakupa uwezo halisi wa kumiliki simu yako,mtengenezaji wa simu huwa anaweka vikwazo vya kufikia baadhi ya vitu ndani ya simu lakini baada ya ku root unatoa vikwazo vyote.
2.Rooting inakuwezesha kuweka custom Rom kwenye simu yako
Mfumo original uliokuja na simu huitwa Custom ro,mfumo huu huwa hauwezi kuwa updated bali tu kwa Ruhusa ya mtengenezaji lakini kwa kutumia custom Rom unaweeza ku update syatem yako na vyenginevyo.
3.Kuweza kuondoa(uninstall default apps za simu
Simu zetu huja na apps mbalimbali amabzo zimeshawekwa lakini si kil app huwa unapenda iendelee kuwepo kwenye simu yako,pasipo kuwa na root access itakuwia ugumu kutoa apps hizi,lakini baada ya kuroot utaweza kutoa app yoyote ndani ya simu yako.
4.Rooting huwa inakusaidia kupata uwezo wa kuongeza speed ya simu yako,kuongera battery life ya simu yako,kumodufy muonkano wa simu yako vile utakavyo,
5.Rooting inakusaidia ku gain root access itakayokufanya uweze kutoa matangazo(Google Ads)amvayon wengi wetu huwa ni usumbufu
HASARA ZA ROOTING
1.Rooting huwa inatoa warranty ya simu yako
2.Kama rooting haitofanyika vizuri inaweza kupelekea simu kushindwa kureboot
JINSI YA KUFANYA ROOTING
Rooting huwa inatofautian kutokana na aina ya simu unayotumia kwani kila simu ina Kernel version yake
1.Kwa kutumia FramaRoot
Simu nyingi huwa zinakubali app ya Framaroot kufanyia rooting haswa zile za Samsung zaidi fuat link ya chini kujua kama simu yako ipo kwenye simu zianzoweza kurootiwa na Framaroot
http://forum.xda-developers.com/apps/fr ... s-t2722980
Ku download framaroot ingia http://www.bestrootapk.com/2016/03/fram ... droid.html
2.Kwa kutumia KingRoot
Kingroot inashauriwa kwa watumiaji wanaotaka tu ku gain root access na si vitu vyenginevyo zaidi hii inwafaa wale watumiaji ambao hawana ujuzi mkubwa(standard users) kudownload kingroot apk ingia,kujua kama simu yako inakubali kingroot ingia
http://www.bestrootapk.com/2016/01/king ... -list.html
Ku download kingroot http://king.myapp.com/myapp/kdown/img/N ... 105203.apk
3.Kwa kutumia Master Root
Master root ni moja ya Rooting app isio chagua
Ku download ingia
http://download1056.mediafire.com/f9lfs ... _3.0.0.apk
Zote hizo zikigoma jaribu
Towel root
http://www.apkmirror.com/apk/geohot/tow ... /download/
Au tumia Root Genius
http://rootgeniusapk.com/download/RootGenius-apk.zi
DESIGNED BY CHAX
Comments
Post a Comment