![]() |
Techn..Desegner`s Blog JINSI YA KU CONNECT SIMU YAKO YA ANDROID (SMART PHONE) KAMA CCTV CAMERA HATUA; 1. Shusha application hii hapa kwanza uwe nayo kwenye simu yako inaitwa WIFI BABY MONITOR APK Download hii application kupitia link hii hapa chini ambayo nimekuekea http://www.apk20.com/apk/111598/ 2. Install hii application kisha endelea na installation steps kwa mara ya kwanza unapo i launch hyo application utaulizwa uingize google akaunti yako hasa details zako zote zitakazoitajika hapo ili uweze kumaliza settings zake Hapo utaulizwa user name yako na utaulizwa uweke password yako pia then uta proceed next Hapo kwenye settings zake utaulizwa je android yako unataka iwe kama nini hapo utapata option mbili Camera A Viewer Uta select ya kwanza Camera kisha uta tap next utakapo maliza application yako ita start up the rear camera na itataka viewer device au client ya ku connect Hapo utakua na choice ya ku keep the phones displays uta i kept ON na hapo utaiweka device on standby mode Sasa hapo app ita operate nyuma ya pazia na itaendelea ku stream video feed Baada ya kazi hyo hapo sasa unatakiwa uwe na simu nyingine sasa Hiyo simu nyingine ndio utakayoitumia kuangalia what is going on Kwa maana ile ya kwanza ukishamaliza ku set utaitafutia place ya kuiweka ambayo itakua ina act as a cctv na hyo inatakiwa iwe na internet 24*7 na charger iwepo full maana ukishaiweka itakua hapo muda wote na uiweke place ambayo itakua inaona kila kitu unachokitaka sawa Simu ya pili nayo utainstall app hio ila kwenye setting itabadilika kidogo Utaishusha application kisha utainstall pia na utaipa google akaunti ile ile uliyoiweka pale kwwnye ile ya kwanza then uta tap Viewer Pale itakapo kuhitaji kukuuliza unataka simu yako iwe kama nini sawa uta tap Viewer So baada ya ku log in camera yako itaanza kuonesha list ya camera zako so uta tap relevant camera ili uanze kuona video feed zinazoendelea Remember simu zako zote ziwe na internet ya 3G au above kwa ajiri ya connection kati ya hyo ya kwanza na hyo ambayo utakua unaitumia kama monitor vile sawa ~MWISHO~ Desegned by CHAX C |
Comments
Post a Comment