DIAMOND PLATINUMZ ATOA MANENO YA HASIRA KWENYE PICHA YA ZARI THE BOSS LADY.



Sote tunajua Diamond Platnumz na Zari ni Wapenzi walioshibana na kwenye mapenzi yao wamefanikiwa kupata watoto wawili.Kwenye saa 20 zilizopita kumekua na picha zinazosambaa mitandaoni zikimuonyesha Zari akiwa ndani ya maji ambapo kwenye picha alizopost yeye alionekana mwenyewe lakini kuna nyingine zimesambaa zikimuonyesha akiwa na Mwanaume.


Diamond Platinumz


Mpenzi wake ambaye ni Diamond Platnumz amepost moja ya hizo picha zilizosambaa na kuandika yafuatayo >>> “Ndio maana wakati mwingine naonaga bora tu nile na kusepa…. maana hawathaminikagi wala kuaminika hawa“

Tunaamini haya yatapita na amani itarejea…. bado tungependa kuwaona pamoja wakifurahia mapenzi yao


Source:Raha za Walimwengu

Designed by CHAX C

Comments