BREAKING NEWS: MTU MMOJA AKAMATWA AKIINGIZA NYAMA ZIKIWA NA SIMU 5 GEREZANI KEKO.



DAR: Kijana mmoja amekamatwa leo Juni 19, 2017 akijaribu kuingiza simu 5 katika Gereza la Mahabusu Keko. Alizifungasha kwenye mapande ya nyama.





Simu hizo zilikuwa ziingizwe gerezani humo ili wapewe wafungwa kwa ajili ya mawasiliano jambo ambalo ni kinyume cha sheria.





Source:Raha za Walimwengu
Designed by CHAX C

Comments