NAMNA YA KUBADILI NETWORK KWA SIMU ZA TIGO(Kwa mfano Tecno Y3+) KUTUMIA LAINI YOYOTE ILE(iwe vodacom,Halotel,Artel,Tigo n.k)





*NAMNA YA KUUNLOCK NETWORK KWA SIMU ZA TIGO FOREXAMPLE TECNO Y3+    
        
MAMBO YA KUZINGATIA 
1:HAKIKISHA UNA SIMU YA TECNO Y3+ 

2:UWE NA BANDO AT LEAST MB 10 IT'S ENOUGH .

MPAKA HAPO MAANDALIZI TYR WALA HAIHITAJI PC NOP.

FANYA YAFUATAYO KUFANIKISHA ZOEZI 👇👇
1:INGIA PLAYSTORE 

2:ANDIKA MTK ENGINEERING MODE.

3:DOWNLOAD THEN INSTALL KWA KWA SIMU MAALUM UNAYOHITAJI KUUNLOCK NETWORK.

4:BAADA YA KUINSTALL BOFYA BUTTON YA KURUDI NYUMA THEN MENU YA SIMU BAADA YA HAPO ANGALIA HIYO APP YA MTK ENGINEERING MODE HAYA IFUNGUE UTAONA KUNA MENU YA IKISHAFUNGUKA KUNA MAMBO MATATU YAFUATAYO 
Android setting 
Mtk setting 
Samsung setting 

Ingia hapo mtk utakutana na menyu ya Telephony haya slide kwa kwenda juu mpaka sehemu ya *SIMME LOCK* then click hapo itafunguka utaona kuna SIM 1 UPANDE TENA WA KUSHOTO SIM 2
HAYA MFANO TIGO Y3+ SIM 1 NDO IMEFUNGIWA BOFYA *Network Personalization* haya click hapo utakuta kuna UNLOCK hemu bofya hapo baada ya hapo itakuomba password ingiza hizi👉12345678 then ok ,baada ya hapo ingia utaona kuna sehemu imeandikwa UNLOCK PERMANENTLY BOFYA HAPO ITAKWAMBIA FINISH HAYA RUDI NYUMA RESTART YOUR PHONE BAADA YA HAPO SIMU YAKO YA TECNO Y3+ ITAKUWA IMEONDOKA KIFUNGONI CHA KUTUMIKIA LAINI MOJA☹ SASA UTATUMIA LAINI YOYOTE IWE HALOTEL ,VODA ,TIGO ,AIRTEL, TTCL KAZI NI KWAKO NA IPI UIPENDAYO ,UKIONA KUNA UGUMU WOWOTE WEWE USIJARI INGIA INBOX KWANGU TENA UTAPATA FREE SERVICE .
Designed by CHAX C
View more

Comments