Techn...Designer's Blog ni Blog iliyoanzishwa na PETRO MATHEW (CHAX C) kwa madhumuni ya KUSHARE Maarifa(Knowledge) na Ujuzi(Skills) mbalimbali kuhusu mambo ya kitekinolojia(Information Technology) ikiwemo Habari,namna ya kutumia Applications mbalimbali, kuburudika,kuelimika na mambo mengine kibao ambayo sijayataja.
Cha msingi ili twende Sambamba nahitaji Ushirikiano wako kupitia KUSHARE LIKE,COMMENT,na KUSHARE kwa watu wengine pia.
Pia usisahau ku SUBSCRIBE kwenye Techn...Designer's Blog kupitia petromathew.blogspot.com
Mwisho natoa Shukrani,Pongezi na Mafanikio mema kwa kuonesha Ushirikiano nami katika kufanikisha jambo hili.
ASANTENI SANA
Comments
Post a Comment