JINSI YA KUFICHA MAFAILI(FORDERS) NA VITU VYAKO MUHIMU(DOCUMENTS) NDANI YA SMARTPHONE.

Kama ilivyozoeleka watu wengi tuna videos,Picha na vitu ambavyo tumeweka kwenye Smartphone zetu, ambavyo si vizuri vikaonekana kwa kila MTU.Tatizo la Smartphone ni kwamba kila rafiki yako utakaekuwa nae Ashura au Maiko atataka aangalie muundo, uwezo,Kamera na toleo lake....na itakuwa vigumu kuweza kumkatalia MTU  hasa kama ni rafiki yako wa karibu sana.
Kupitia kuangalia Linki hapo chini👇👇utaweza kuficha Mafaili yako na vitu vyako muhimu(Hide Forders and Documents) Kwenye Smartphone.



https://drive.google.com/file/d/0B2RZvCi-5de7TktyY2lEd09QTjg/view?usp=drivesdk

Comments

  1. Mmmmmmh Owky Its good Guys I appreciated it Make For up weare Together please

    ReplyDelete
  2. Mmmmmmh Owky Its good Guys I appreciated it Make For up weare Together please

    ReplyDelete
  3. OK ,Thanks so much#stephen mligo

    ReplyDelete

Post a Comment