JINSI YA KU RESET PASSWORD, PATTERN AU PINCODE YA SIMU ZA ANDROID.






    kuna njia kuu tatu ambazo zitaweza kukusaidia wewe kuokoa simu yako njia hizo ni kama ifuatavyo 
     1.RESET FACTOR 
njia hiii sio nzuri sanaaa kwani hufanya simu kua mpya kabisa yani hufuta kila kitu katika simu yako  
    HATUA ZA KUFUATA 
  1...zima simu yako 
   2...ukiwa umeshaizima sasa iwashe ukiwa umeshikilia power button pamoja na volume down au volume down na up kwa pamoja vyote vitatu  
   3...sasa simu yako itawaka na italeta maneno mengiii hapo itakubidi utumie button ya volume down hadi ufikie sehemu iliyoandikwa reset factor alafu utabonyeza power button  cmu itajizima na kisha itawaka ikiwa haina password wala pattern tena itakua mpya kabisa kama ulivonunua..... 
2.FORGET PASSWORD 
Njia hiii ni nzur na rahisi sanaaa utarecover simu yako bila kupoteza chochote kile unachotakiwa kufanya ni mambo yafuatayo 
 1....utakapogundua kua umesahau password au pattern yako hapo sasa Bonyeza kitufe cha forget password  
 2....ukishafungua hapo utachagua option ya kurecover kwa kutumia email 📧 ambayo inatumika katika sim yako
3....ingiza email yako a password ya email hiyo na simu itakua imefunguka moja kwa moja bila kupoteza data Yoyote.... 
3.COMPUTER INAHUSIKA 
Njia hii ni pale ambapo hata gmail yako huijuii na umeisahau sasa bhass itakubid utumie computer 💻 kuset email 📧 na kisha utaiconect na simu kwa kufuata maelezo ambayo utayapata kupitia simu yako pale utakapochagua reset my password by using personal computer 💻   hivyo bhass haiiitaji maelezo mengi sanaaa kwani njia hii ni kwa watu walioendelea zaidii.... 

 Designed by CHAX C













Comments