Akihubiri leo, Gwajima amesema wakiendelea atawavua mataulo ili jamii iwaone.
Bila kufafanua kuhusu kauli hiyo, Gwajima amesema hawezi kunyamaza wakati watu wanaendelea kumfuata fuata.
"Leo nitakwapua mataulo ya watu,"amesema huku akishangiliwa na waumini wake. Just keep
Source:Muungwana
Designed by CHAX C
Comments
Post a Comment