JINSI MTU ANAVYOWEZA KUINGIA KWENYE "APPS" ZILIZOWEKWA "PASSWORD" PASIPO KUJUA "PASSWORD ZAKE"


Habari za wakati huu??
Natumaini ni wazima wa Afya.
Hivi ulishawahi kujiuliza kuwa, kuweka Password kwenye App zako ndani ya simu ni salama sana??
Jibu ni hapana

Leo nitakuelekeza jinsi gani mtu anavyoweza kuingia kwenye App zilizowekwa Password hata kama kama hazifahamu Password hizo.
Njia rahisi kabisa anayoweza kuitumia mtu kuingia kwenye App zako zilizo kwenye simu yako hata kama umeziwekea Password aina moja tu, inategemea unatumia app gani kulock hizo Apps zako unaweza ukawa unatumia APPLOCK AU CMLOCK na zingine nyingi...zisikupe hofu hizo apps zote njia ni moja tu.
Kwanza ataingia SETTINGS==>APPS MANAGER==>APPLOCK(ataangalia jina la App uliyotumia kuzilock Apps)==> atabonyeza button imeandikwa CLEAR DATA

kwa kutumia njia hiyo mtu yoyote ataweza kuingia kwenye Apps za simu yako zilizolockiwa ..

Njia salama ya kuficha vitu vya kwenye simu yako ni kuweka Password, Pin, pattern au Fingerprint kwenye screen kuu .. 
                        ASANTENI SANA
BY CHAX C 
     

Comments

  1. 2019 ford edge titanium for sale
    2019 ford edge titanium is one of the finest in the titanium cerakote world, it is so durable that titanium rod there are still many items titanium dive watch out there that you can put titanium trimmer as seen on tv your eye in. tube supplier

    ReplyDelete

Post a Comment